Kwa: Wajasiriamali · Dakika 1 ya kusoma

Kwa nenosiri lako
- Fungua dukahuru.co.tz/app.
- Weka namba ya simu na nenosiri lako.
- Gusa Ingia.
Mara ya kwanza, au ukisahau nenosiri
Kama DukaHuru ilikusajili, au umesahau nenosiri lako:
- Gusa Mara ya kwanza, au umesahau nenosiri?
- Weka namba yako ya simu kisha uguse Tuma namba ya siri. Namba ya siri inakuja kwa SMS.
- Weka namba hiyo, chagua nenosiri lako (angalau herufi au tarakimu 6), kisha uguse Hifadhi na uingie.
Tumia namba na nenosiri lilelile kwenye app ya simu ya DukaHuru.